~ INGEKUWA VIPI KAMA KILA PUMZI UNAYOIVUTA UNGEKUWA UNAILIPIA??~
Thursday, December 11, 2008
Unayakumbuka mafuriko ya kyela?




Picha zote kwa hisani ya mdau Rashid Mkwinda
 
© Rama Msangi |Tarehe: 1:07 PM | Permalink | Maoni 0
Thursday, November 13, 2008
mambo ya mitandao hayo
Mkazi wa jiji la Mbeya ambaye hakufahamika jina lake alikutwa na mpiga picha wetu katikati ya jiji la Mbeya barabara ya Jakaranda akiwasiliana na jamaa zake kwa kutumia simu ambayo alikuwa ameiunganisha na betri za radio,kwa mujibu wa maelezo yake ni kwamba simu yake humsumbua chaji mara kwa mara hivyo analazimika kutembea na betri ikiwa ni njia ya kumrahisishia mawasiliano (Picha na Rashid Mkwinda)
 
© Rama Msangi |Tarehe: 5:08 PM | Permalink | Maoni 0
Tuesday, November 11, 2008
Awamu ya nne ya maendeleo kwa kasi, nguvu na ari mpya
Hebu tizama hayo maji, kisha ukumbuke japo kwa uchache tu kuhusiana na zile ahadi za mheshimiwa JK, wakati wa kampeni zake. Zimefikiwa kwa asilimia ngapi? Hivi wakazi wa Mbarali hawakupewa ahadi zile? Wameonja hata harufu ya utekelezwaji wake? TAFAKARI


 
© Rama Msangi |Tarehe: 2:24 PM | Permalink | Maoni 0
UPANDE WA PILI WA AWAMU HII YA MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA
Hawa ni wakazi wa kijiji kimojawapo kati ya vingi vinavyopatikana katika wilaya ya Mbarali, mkoani Mbeya, ambao nao mwaka 2005, waliahidiwa maisha bora, kama walivyoahidiwa Watanzania wengine, na Rais wao mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete. (Picha kwa hisani ya mwanaharakati Rashid Mkwinda)
 
© Rama Msangi |Tarehe: 2:01 PM | Permalink | Maoni 0
Friday, October 24, 2008
Elimu yetu imekua kama vichekesho vile
Elimu yetu yaani imekuwa kama vichekesho, kama michezo ya kuigiza, kama nini vile sijui....... yaani....we acha tu
 
© Rama Msangi |Tarehe: 11:59 AM | Permalink | Maoni 0
Hii ndio tanznia yenye amani
Kweli Tanzania yenye amani, ingali inastahili kujibunia amani yake....au mnasemaje wakubwa??

Labels:

 
© Rama Msangi |Tarehe: 11:56 AM | Permalink | Maoni 0
Thursday, October 23, 2008
Ndio maana yake. Ujumbe si mnauona wenyewe


Kijana huyu, amechoka kuwa sahihi kisiasa, na sasa anaitaka nchi yake, ambapo atakuwa sahihi kwa kuwa mkweli kiuhalisia na kwa kuzingatia hali halisi
 
© Rama Msangi |Tarehe: 6:13 PM | Permalink | Maoni 0
Tuesday, March 04, 2008
Mtoto anapozaa watoto
Msichana huyu ana bahati mbaya ya maisha yake amezaliwa miaka 14 iliyopita, mzazi wake alimtupa katika rambo, akaokotwa na wasamaria wema huko Makete mkoani Iringa na kulelewa katika kituo cha kulelea watoto yatima cha Bulongwa aliondoka na kufika katika mji mdogo wa Tunduma akiwa na umri wa miaka 13 bahati mbaya alidanganywa na mpiga debe na kumpachika mimba na kuzaa watoto mapacha,mpiga debe kamtelekeza hivi sasa anahaha mitaani akiomba msaada kwa wasamaria wema, Maskini binti huyu!!!!!!
(Picha na maelezo kwa hisani ya rashid Mkwinda)
 
© Rama Msangi |Tarehe: 11:14 AM | Permalink | Maoni 4
Friday, February 29, 2008
Raia wa kigeni na bendera ya Tanzania
Raia huyu wa kigeni ambaye hakuweza kutambulika Utaifa wake wala jina lake alikutwa na mpiga picha wetu akiwa amevalia bendera ya Taifa la Tanzania akijivunia amani na utulivu wa Tanzania ambayo imekuwa ikisifika nje ya mipaka na kuwafanya watu wa mataifa mengine kuvinjari bila bughudha yoyote.(Picha na Rashid Mkwinda)
 
© Rama Msangi |Tarehe: 2:46 PM | Permalink | Maoni 0
Lowassa alipooooooo.................

haya haya hayaaaaaaaaaaaaaaaaaa,
 
© Rama Msangi |Tarehe: 2:39 PM | Permalink | Maoni 0