
Raia huyu wa kigeni ambaye hakuweza kutambulika Utaifa wake wala jina lake alikutwa na mpiga picha wetu akiwa amevalia bendera ya Taifa la Tanzania akijivunia amani na utulivu wa Tanzania ambayo imekuwa ikisifika nje ya mipaka na kuwafanya watu wa mataifa mengine kuvinjari bila bughudha yoyote
.(Picha na Rashid Mkwinda)