
Hawa ni wakazi wa kijiji kimojawapo kati ya vingi vinavyopatikana katika wilaya ya Mbarali, mkoani Mbeya, ambao nao mwaka 2005, waliahidiwa maisha bora, kama walivyoahidiwa Watanzania wengine, na Rais wao mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete. (Picha kwa hisani ya mwanaharakati Rashid Mkwinda)