
Hebu tizama hayo maji, kisha ukumbuke japo kwa uchache tu kuhusiana na zile ahadi za mheshimiwa JK, wakati wa kampeni zake. Zimefikiwa kwa asilimia ngapi? Hivi wakazi wa Mbarali hawakupewa ahadi zile? Wameonja hata harufu ya utekelezwaji wake? TAFAKARI