Niliandika awali, siku chache sana kabla mie na wewe unayesoma hapa hatujauona, lakini midhali hivi sasa naamini tumeuona... si vibaya tukitakiana Heri ya Mwaka mpya wa 2008. Tumshukuru Mungu kwa wema aliotutende mwaka wa 2007, na kumuomba atujaze nguvu na kututia moyo kwa kila tunalofikiria kulitenda katika mwaka huu wa 2008
HERI YA MWAKA MPYA....HAPPY NEW YEAR 2008