~ INGEKUWA VIPI KAMA KILA PUMZI UNAYOIVUTA UNGEKUWA UNAILIPIA??~
Wednesday, December 05, 2007
Wanameremeta jamani, au sio?
Bloga, Rashid Mkwinda (Mzee wa Fasihi za Ufasaha), siku alipoamua kufanya mambo kwa ufasaha kwa kujivutia jiko lake saaaaaaaafi kabisa. Ndoa ina raha zake bwana, si unamwona bi harusi akinyonya kidole kuashiria karidhiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiika!!!

Mungu awabariki jamani
 
© Rama Msangi |Tarehe: 10:31 AM | Permalink |


Maoni: 0