Walioko nyumbani kazi yao kubwa ni ufugaji, walioanza kukimbilia mijini walianza kwa kazi za ulinzi, kisha wakaja na mbinu ya kuuza dawa za asili ambazo wanasema huzifuata huko umasaini, sasa wako ambao ni wataalamu wa kusuka.
Pichani ni vijana wawili wa kimasai wakiwa wanamsuka dada mmoja aliyejitambulisha kwa jina la Farida katika eneo la Jamatini mjini Dodoma. Umeniona hapo nilivyopozi na kikombe cha kahawa? kalagabaho, kahawa ina utamu wake bwana.