~ INGEKUWA VIPI KAMA KILA PUMZI UNAYOIVUTA UNGEKUWA UNAILIPIA??~
Wednesday, December 05, 2007
Utamu wa Maisha
hapa ni kando kando ya barabara itokayo Irina kuelekea Morogoro na kuendelea. Ni umbali kidogo sana toka eneo la Ipogoro. Vijana hawa walinikumbusha maisha nilokuwa naishi kwa bibi. Kuoga mtoni bwana kuna raha yake asikwambie mtu
© Rama Msangi |Tarehe: 10:43 AM
|
Permalink
|
Maoni: 0
Post a Comment
~ Rudi mwanzo