~ INGEKUWA VIPI KAMA KILA PUMZI UNAYOIVUTA UNGEKUWA UNAILIPIA??~
Wednesday, December 05, 2007
taifa la Kesho
Huenda baada ya wazee kuona kuwa uongozi ni mtamu sana na hawawezi kuuachia, wameona njia iliyobora sana ni kuandaa taifa la kesho la wafanyibiashara, ndio maana watoto hawawezeshwi kwenda mashuleni badala yake wanafanya kama unaowaona pichani
 
© Rama Msangi |Tarehe: 9:47 AM | Permalink |


Maoni: 0