~ INGEKUWA VIPI KAMA KILA PUMZI UNAYOIVUTA UNGEKUWA UNAILIPIA??~
Friday, December 07, 2007
Tafakari

Unaweza kujua kijana huyu, niliyemnasa nje kidogo ya mji wa Morogoro akichuuza matunda kwa abiria wanaosimama eneo hilo kwa ajili ya kuchimba dawa, anajiuliza au kuwaza nini kichwani mwake?
 
© Rama Msangi |Tarehe: 11:57 AM | Permalink |


Maoni: 1


  • Tarehe: January 15, 2008 at 10:54 PM, Mtoa Maoni:- Anonymous Anonymous

    Play "Extreme Skateboarder Move"
    Huo ni sawa na mlevi akitokea chanika,wakati anakatiza Ngagheni.Sinakumbukumbu,vizuri kuwa ule uwanja wa halaiki tulio kuwa tukifanyia sherehe za sikukuu ya wakulima (Sabasaba pale Kitieni bado ungalipo au umebinafsishwa kwa wenye fedha au laa !!Pale nndipo ilipokuwa njia kuu ya vaengeji kupitia.