Licha ya kuwa mvua ni neema, madereva wa magari mbalimbali hasa wale wazembe wazembe huwa hawazipendi maana zinawatoa nishai daima.
Pichani ni daladala linalofanya safari zake baina ya Soko Matola na Mbalizi, mjini Mbeya, likiwa limepinduka baada kumshinda dereva kutokana na utelezi wa barabarani