~ INGEKUWA VIPI KAMA KILA PUMZI UNAYOIVUTA UNGEKUWA UNAILIPIA??~
Wednesday, December 05, 2007
Mnapunguza au kuunda ajali

Hivi askari hawa wa usalama barabarani wanapoamua, tena kwa makusudi kabisa kufanyia kazi zao za nanihii...(mnaelewa bwana), katika sehemu ambayo barabara ni finyu wanamaanisha nini? Njia yenyewe inakuwa ni nyembamba, ninyi mnasimamisha magari huku na kule, yale mnayoyaruhusu mnataka yapitie wapi sasa. Vichwani mwenu au?
Tumieni akili bwana. tafuteni sehemu ambako barabara inakuwa na upana wa kutosha ndio msimamishe magari kwa staili kama hiyo ya kwenye picha.
 
© Rama Msangi |Tarehe: 11:01 AM | Permalink |


Maoni: 0