~ INGEKUWA VIPI KAMA KILA PUMZI UNAYOIVUTA UNGEKUWA UNAILIPIA??~
Wednesday, December 05, 2007
Maisha bora kwa kila Mtanzania?
Huyu Mtanzania anapatikana sehemu fulani karibu na Iringa, kando kando ya barabara kuu ya kuelekea jijini Dar es salaam. Naye anaota na kusikia ngonjera za maisha bora kwa kila Mtanzania ati.
© Rama Msangi |Tarehe: 9:59 AM
|
Permalink
|
Maoni: 0
Post a Comment
~ Rudi mwanzo