~ INGEKUWA VIPI KAMA KILA PUMZI UNAYOIVUTA UNGEKUWA UNAILIPIA??~
Monday, December 31, 2007
Kwa pamoja tutaushinda!!
Pichani ni mwandishi wa habari Bi. Pendo Fundisha, (huyo mwenye fulana nyeupe) aliyeamua kuchukua jukumu la kukaa na mabinti ambao sikufanikiwa kuyapata majina yao kwa haraka, na kuwaelimisha mambo mbalimbali kuhusiana na suala au kampeni za Upimaji kwa Hiari, athari za kujiingiza kwenye mapenzi ya utotoni sanjari na matumizi sahihi ya Condoms..... Tukijitambua kuwa kila mmoja ana wajibu wa kuelimisha asiyejua, ni wazi kuwa tutaushinda UKIMWI kwa pamoja..... Ndaga fiji mwanawane...keep it up!!!

 
© Rama Msangi |Tarehe: 12:06 PM | Permalink |


Maoni: 0