
 Vijana hawa niliwanasa eneo la Gairo, mkoani Morogoro. Walikuwa wakichuuza mayai, karanga, biskuti na bidhaa zingine za kutafuna tafuna kwa abiria wanaopita sehemu hiyo kuelekea Dodoma na Morogoro. Unalikumbuka Tangazo la yule dogo Kayumba? Hawa ni ndigi zake au?