Hapa sio tu kuwa ni ndani, bali katikati ya jiji la Mbeya. Wanaoijua ile zahanati ya wagonjwa wa upungufu wa pombe mwilini inayojulikana kwa jina la Elite 2000 Grocery, bilashaka wanajua hapa ni wapi. Unaona lakini!! jamaa wamepaka rangi jengo hilo la jirani na dampo, jengo linapendeza sana tu. lakini kando kuna uozo.........