~ INGEKUWA VIPI KAMA KILA PUMZI UNAYOIVUTA UNGEKUWA UNAILIPIA??~
Friday, December 07, 2007
Hivi tulilaaniwa na nani?
Tuna ardhi kubwa isiyo na ukomo, sehemu kubwa inafaa kwa kilimo na isiyofaa kama inayoonekana pichani ni ile ambayo inaweza kutumika kwa ajili ya kuvuta watalii. Hivi kwanini tunaendelea kuwa masikini kweli?
 
© Rama Msangi |Tarehe: 12:01 PM | Permalink |


Maoni: 0