~ INGEKUWA VIPI KAMA KILA PUMZI UNAYOIVUTA UNGEKUWA UNAILIPIA??~
Saturday, September 15, 2007
Wanatengeneza kazi hapo

Watu wa Mipango miji daima wamekuwa ni watu ambao plani zao ni za ajabu sana. Hivi sasa bomoa bomoa zinaendelea karibu kila kona ya Tanzania, sababu tu huwa hawako tayari kufanya kazi zao katika nyakati muafaka. Pichani ni sehemu ya mtaa fulani ndani ya jiji la Mbeya, ambako nyumba zinaibuka kama uyoga. Eneo hilo halina hata kichochoro cha kupita kwa baiskeli, achilia mbali barabara kwa ajili ya zimamoto au gari la wagonjwa
 
© Rama Msangi |Tarehe: 12:51 PM | Permalink |


Maoni: 0