~ INGEKUWA VIPI KAMA KILA PUMZI UNAYOIVUTA UNGEKUWA UNAILIPIA??~
Sunday, September 09, 2007
Wajasiriamali wetu

Sijui hawa nao walikuwa kwenye ule mgao wa yale mabilioni ya JK au vipi. He!! Ananibonyeza mtu hapa anasema labda niulize kuwa walikuwa wanajua kuwa Serikali yao imewatengea mamilioni kwa ajili ya kujikwamua kichumi!!
 
© Rama Msangi |Tarehe: 11:17 AM | Permalink |


Maoni: 2


  • Tarehe: September 10, 2007 at 3:17 PM, Mtoa Maoni:- Anonymous Anonymous

    Rama kumbuka kuwa hiyo mikopo inahitaji biashara ambayo imesajiliwa. Iwe na cheti cha TRA na kile cha VAT, sijui TIN namba. Wamesajili hao washakji?

     
  • Tarehe: September 10, 2007 at 3:19 PM, Mtoa Maoni:- Anonymous Anonymous

    Mbeya wapo wanaovaa viatu wanavyotengeneza hao jamaa kweli au? Ingekuwa Arusha jamaa wangetajirika kweli hao