~ INGEKUWA VIPI KAMA KILA PUMZI UNAYOIVUTA UNGEKUWA UNAILIPIA??~
Saturday, September 15, 2007
Uchafuzi wa mazingira

Wanaotupa taka mahali hapa ni hao hao ambao wanatumia maji haya kwa shughuli fulani fulani ingawa wao wenyewe wanaweza kupinga sana tu. Ni kama tunajitengenezea sumu sisi wenyewe, sasa tutafika kwa mtindo huu kweli. Mto unakuwa dampo??
 
© Rama Msangi |Tarehe: 12:56 PM | Permalink |


Maoni: 0