~ INGEKUWA VIPI KAMA KILA PUMZI UNAYOIVUTA UNGEKUWA UNAILIPIA??~
Friday, September 14, 2007
Sio wabunge tu wenye kutafakari, hata Askari wetu pia

Hapa ilikuwa siku ya mkutano wa hadhara wa Mtaalamu wa Fitna za kisiasa kwa kutumia njia ya anga, Bw. Mbowe, alipokuwa jijini Mbeya. Ilikuwa katika viwanja vya CCM Ilomba
 
© Rama Msangi |Tarehe: 12:42 PM | Permalink |


Maoni: 0