
 Picha kubwa ni gari lililokuwa limefungwa Bendera ya taifa ya Tanzania, kuonyesha Uzalendo kwa timu yetu ya taifa. Picha ndigo ni mheshimiwa mmoja naye alikutwa na kakamera kangu akiwa maeneo fulani fulani hivi na fulana yake yenye jina la Robinho (wa Real Madrid).
Zote hizo ilikuwa ni siku moja kabla Msumbiji hawajatufanyia mambo tukiwa nyumbani kwetu, tena kwenye kauwanja ketu kapya