Picha za matukio mbalimbali yaliyojiri wakati wa ziara ya kamanda Mkuu wa Oparesheni ya kisiasa ya Anga, Bw. Freeman Mbowe, alipotembelea jiji la Mbeya.
hapa anawasili Binafsi nadhani aliamua akashuhudie baada ya Bunge kukataa kuunda kamati
Bunge si lilikataa kuunda tume bwana, inawezekana kweli jamaa aliamua kujifanya tume yeye mwenyewe. Nimeshangaa mwenyekiti hata hakutaka kuwakemea wabunge wa chama chake kwa kutokumtendea mtu aliyechaguliwa na wananachi akawawakilishe, ndivyo sivyo.
Tuliwatuma wakatuwakilishe kwakweli lakini katika hili la Zitto, hakuna mwananchi anayekubaliana na kile wawakilishi wetu wamekifanya