Hapa ni katikati ya Jiji la Mbeya. Uhamasishaji wa namna hii ni wa maana sana na ni wa kawaida kabisa maeneo ya mijini. Hivi kule kwetu Usangi yapo mabango kama haya? Kule Kirongaya kule yapo haya? Chunya huko makongolosi, Mkwajuni, yapo haya mabango na huduma hizo?