~ INGEKUWA VIPI KAMA KILA PUMZI UNAYOIVUTA UNGEKUWA UNAILIPIA??~
Saturday, September 15, 2007
Mjini kweli Shule

Mjini bwana ni shule kweli kweli, na wengine husema mjini ni kuzuri, ndugu zangu warangi kule Kondoa, husema mjini kumware, kama huamini peleka hii biashara maeneo ya vijijini uone kama hujafa njaa
 
© Rama Msangi |Tarehe: 12:42 PM | Permalink |


Maoni: 0