~ INGEKUWA VIPI KAMA KILA PUMZI UNAYOIVUTA UNGEKUWA UNAILIPIA??~
Thursday, September 06, 2007
Mapambano ya rushwa Zambia
Pichani, ni bango ambalo nilikumbana nalo katika mitaa fulani fulani ya Jimbo la Nakonde nchini Zambia. Lilinionyesha ni kwa kiasi gani watu wanakerwa na rushwa duniani kote naamini, lakini kwanini ingali inaendelea??
© Rama Msangi |Tarehe: 12:07 PM
|
Permalink
|
Maoni: 0
Post a Comment
~ Rudi mwanzo