
Jicho langu la tatu liliwakuta jamaa hawa wakiwa wanakatisha mbele ya ukuta wenye ujumbe mnaouona hapo, wakiwa wanajitahidi sana kutokugeusa hata nyuso zao kuusoma, nikajiuliza
Hivi hawa ambao hata kuugeukia huo ukuta wakasoma kile kilichoandikwa hapo inawawia shida, kweli wanaweza kuifanya hiyo sehemu kwa salama??