Ni chini ya miezi miwili toka basi la SABCO lilipochinja raia 12, . katika ajali iliyotokea eneo la Inyala wilayani Mbeya Vijijini Mkoani Mbeya. Wakati bado machungu hayo hayajapona, leo hii limegongana na lori lilokuwa limebeba mawe uso kwa uso na kisha kupinduka. Unajua roho ngapi zimepotea?? This time ni 27, hadi napanda mtamboni. 23 walikatika papo hapo na wengine wanne wakikimbizwa Chimala Mission Hospital