~ INGEKUWA VIPI KAMA KILA PUMZI UNAYOIVUTA UNGEKUWA UNAILIPIA??~
Friday, September 07, 2007
Dola 5000 kwa pafu moja tu!!
Faini ya dola alfu tano!! Kwa kuvuta sigara tu!, haya bwana, jicho langu la tatu lilikutana na tangazo hilo ndani ya kipanya fulani nilichokuwa nimekipanda nikielekea katika mji mdogo wa Tunduma.
Hivi tatizo ni uvuitaji sigara au kilimo cha Tumbaku?
© Rama Msangi |Tarehe: 10:05 AM
|
Permalink
|
Maoni: 0
Post a Comment
~ Rudi mwanzo