~ INGEKUWA VIPI KAMA KILA PUMZI UNAYOIVUTA UNGEKUWA UNAILIPIA??~
Friday, September 14, 2007
Baada ya kuungua Mwanjelwa

Ndio hali ilivyo katika soko la Sido, ambalo linatumiwa hivi sasa na wafanyibiashara waliokuwa wakitumia soko lililoungua la Mwanjelwa.
Unauliza kuhusu Meza na kushangaa?? Ukiambiwa kuwa hata vyoo ni mgogoro katika eneo hilo si utazimika sasa?
 
© Rama Msangi |Tarehe: 1:31 PM | Permalink |


Maoni: 0