~ INGEKUWA VIPI KAMA KILA PUMZI UNAYOIVUTA UNGEKUWA UNAILIPIA??~
Saturday, September 08, 2007
Asasi za kupambana au kuchochea umasikini
Hawa wao wamekuja na kaulimbiu yao kama unavyoiona.
more than just credit

Hivi zaidi ya mkopo unajua ni nini? Kufilisiwa maana umeshindwa kulipa deni la watu la mkopo wa kuuzia maandazi...
 
© Rama Msangi |Tarehe: 4:22 PM | Permalink |


Maoni: 0